Naomba msaada wa mawazo yenu mimi niko mwanza nina mtaji wa Mil 2

Kupata hela na ndo uanze kufikiria ufanye nini hapo hela inakua ipo kwenye hatari ya kupotea, kuwa mtulivu fanya utafiti wa biashara mbalimbali jitathmini ipi utaweza na uanze taratibu usikurupuke
 
Habari wapendwa naomba msaada wa mawazo yenu mimi niko mwanza nina mtaji wa Mil 2 sijui nifungue biashara gan kwa huu mtaji wangu mawazo yenu wadau
Kipindi hiki cha mavuno biashara ambayo unayoweza kuifanya ni kununua viatu vya masai zile sandals, unaweza u kazi pata kwa sh 5000 kila pair kwa Dar es Salaam hasa maeneo ya Manzese. Wewe ukachukua hata 100pcs ukaanza kuwauzia ndugu zako Wasukuma kwa shilingi 12,000 mpaka 15,000 kwa kila pair. Utapata hela lakini kuwa makini na matapeli
 
Asante nimeipenda wazo lako

lako
Habari wapendwa naomba msaada wa mawazo yenu mimi niko mwanza nina mtaji wa Mil 2 sijui nifungue biashara gan kwa huu mtaji wangu mawazo yenu wadau
Bado napokea mawazo yenu wadau
 
Kama kungekuwa na ywezekano japo wa kupata line za mpesa , tigo pesa nakushaur ufanye hiyo biashara sababu pesa yako ingekuwa salama zaid na bado ungepata faida
 
Back
Top Bottom