asishinde karibu na mama yake...akishinda na watu wengine mfano dada ataweza kula chakula sababu atapata njaa na nyonyo haipoNina mwanangu ana umri wa miezi 13 sasa lakini tatizo lake hataki kula chochote isipokuwa anataka kunyonya tu kwa mama, sasa nifanyeje huyu dogo apate kula walau kidogo?
Acha kkurupuka!kasema miezi 13 mkuu!Miaka 13 bado anataka nyonyo?Mpeleke kwa Daktari wa watoto haraka.Pole
Miezi sio miakaMiaka 13 bado anataka nyonyo?Mpeleke kwa Daktari wa watoto haraka.Pole
Ooh samahani.Tumezoea mwaka mmoja na mwezi mmoja.Kama ni hivyo asipanick mtoto apige nyonyo tu.Asante kwa sahihisho,anybody can make mistake.Acha kkurupuka!kasema miezi 13 mkuu!
Asante.Nimeshayonywa na mdau.Mwaka mmoja na mwezi mmoja bado sana kwa mama kupanicMiezi sio miaka
UmekurupukaMiaka 13 bado anataka nyonyo?Mpeleke kwa Daktari wa watoto haraka.Pole