Naomba Msaada wa Mbinu za kupata wateja online ukiachana na kupost facebook

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Naomba msaada wa mbinu za kupata wateja online ukiachana na kupost FB.

Nimekua na utaratibu wa kupost matangazo yangu ya biashara online kupitia fb zile business groups na naona outputs ni ndogo sana. Wakuu ni sehemu zipi nyingine naweza kupost matangazo ya biashara na nikavuna wateja?

Au nitumie mbinu zipi nyingine niweze kuvuna wateja?
 
Kuna hii kitu inaitwa Instagram or Facebook promotion.yani Instagram or Facebook wenyew wanakuletea wateja Kwa kuwaonyesha bidhaa zako walengwa wanaita Sponsored Aid.
Hapa Kuna kulipia haya matangazo pindi wakishamaliza ndani ya mda husika.
 
Tumia What'sApp groups na What'sApp Status utakuja nishukuru...
.
Hapa unatakiwa uwe na contacts nyingi What'sApp usave...Unazipata vp hizi contacts?...
.
Unazipata Facebook, Instagram na kwenye What'sApp groups...
.
Kikubwa jifunze Copywriting tu.
 
Tumia What'sApp groups na What'sApp Status utakuja nishukuru...
.
Hapa unatakiwa uwe na contacts nyingi What'sApp usave...Unazipata vp hizi contacts?...
.
Unazipata Facebook, Instagram na kwenye What'sApp groups...
.
Kikubwa jifunze Copywriting tu.
Niongezeeee
Utafanya Kila kitu sijui organic posts,sponsor ads sijui influencers sijui magroup ya Whatsapp sijui status sijui bulk sms lakin kama huna copy writing skills wateja wataishia kulike wakijitahidi watakutafuta watakuulizia na kusepa acha uvivu soma digital marketing just misingi tuu bas itakusaidia
 
Naunga mkono hoja
 
Copywriting hii ipoje mkuu ufafanuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…