Naomba Msaada wa 'Phrases' na 'Synonyms'

Synonyms ni maneno yenye maana moja, au karibu moja (kama kwa mfano "labda" na "pengine"). Ona kiungo kifuatacho kwa mifano mingi ya synonyms:

Examples of Synonyms

Phrase ni kundi la maneno linoloeleza wazo. Kwa mfano, "mezani" huelezeka kwa kiingereza, kama phrase : "at the table" Kwa kawaida, tunajenga sentensi tukitumia phrases, isipokua aina moja ya phrase (verb phrase) pengine peke yake huwa sentensi. Kuna aina nyingi ya phrases. Ona kiungo kifuatcho kwa mifano mingi ya phrases:

Phrase Examples
 
Naomba msaada wa maana ya Phrases na Synonyms na mifano yake.
phrase ni fungu la maneno ikiwa ni sehemu ya sentensi au sentensi kamili yenye kuwajilisha wazo moja lililo timilifu, na isiwe imetenganishwa na nukta kituo kikubwa (full stop) katikati mfano:

waweza sema "It was raining cats and dogs, still the boys managed to go on with their game"
hapa "it was raining cats and dogs" ni phrase na inakupa maana kamili na "the boys managed to go on with their game" nayo ni phrase ya pili na inakupa maana kamili

synonyms inamaanisha maneno yenye spelling tofauti lakini yenye maana moja au yenye maana inayoshabihiana

kwa mfano kuna "children na offsprings"
road na track
truck na lorry
trousers na pants (kwa wamarekani tu)
cunt na pussy
palsy na homosexual
na mengineyo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…