neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 727
- 2,421
Sehemu gani arusha mkuu!! Naweza pata contact zao inbox!Ichukue morogoro,changanya na mikoa yote ya tanganyika, kisha wote kwa pamoja muelekee Arusha kutalii, kwenye sekta ya utalii hakuna kama arusha,japo Serengeti ni moja kati ya mbuga bora duniani ila mkoa wa mara bado unaachwa mbali mno na Arusha kwenye suala zima la utalii,. Karibu.
Adsante umemjibu vyema sana, umeniwahi tuuIchukue morogoro,changanya na mikoa yote ya tanganyika, kisha wote kwa pamoja muelekee Arusha kutalii, kwenye sekta ya utalii hakuna kama arusha,japo Serengeti ni moja kati ya mbuga bora duniani ila mkoa wa mara bado unaachwa mbali mno na Arusha kwenye suala zima la utalii,. Karibu.
Utalii wa kuona wanyamaSwali ni la jumla kidogo. We unapenda nini?
Utalii wa kupanda milima?
Utalii wa kitamaduni na kuona maisha ya wenyeji?
Utalii wa kuona wanyama kwenye mbuga au zoo?
Utalii wa kutembea mjini?
Utalii wa usiku?
Utalii wa uwindaji?
Utalii wa misitu?
Orodha ni ndefu mkuu !!
Ahsante sana umenisaidia kwa kweli kwenye hilimbona saivi mambo yamerahisishwa kwa kutumia sim janja, unasearch Google au tiktok "sehemu nzuri za kwenda kutalii Arusha" unaletewa kila kitu plus picha,,, basi ukishindwa sana muulize hata Chatgpt anakupangia budget nzima ya pesa uliyopanga kuitumia
Naomba uelezee zaidi kuhusu Kahumba mkuuMorogoro nenda Kahumba
Arusha nenda Shivers
Utalii wa Cummer.
Achana naye! Kahumba ni bar iliyoko mjini wanapojiuza wake ngedere!Naomba uelezee zaidi kuhusu Kahumba mkuu
Hiking hazifai?Kwa utalii ni ngorongoro crater tu hakuna kwingine!
Jamaa anazingua, mimi nataka niende nikatazame mashamba huko kijijini ila nataka nifikie mjini, nipate sehemu nzuri ya kulala na kula, na usiku kuangalia mpira.Achana naye! Kahumba ni bar iliyoko mjini wanapojiuza wake ngedere!