naomba msaada wa sheria wamkuu

fieldmashal

Member
Joined
Nov 22, 2015
Posts
78
Reaction score
3
Topic: . mungu awe nanyi vigogo wa heslb
fieldmashal 17:57 Today
Me nataka kufa jamani namiaka mitatu sasa
nakosa boom hahi nahisi bora ningezaliwa nyani
ulaya kuliko kuwa mutu Tz lnchi iliyojaa
undugunization na rushwa hasa samaki wakubwa
kama wafanyakazi wa heslb mimi kama
mwanafunzi ninayeendelea na masomo mwaka
wa pili sasa na chuo wameshafungua(udom)
ndugu zangu wanajukwaa ikumbukwe kuwa
nilikuwa nasomeshwa na serikali toka kote
nilikopita kwani me ni yatima na sina uwezo wa
aina yoyote ile mwaka 2013 nilihitim kidoto cha
sita na kufauru hivyo nikaaplay chuo mkopo
nikakosa ikanilazim kuahilisha chuo mwaka
uliofata nikaaplay tena nikapata chuo mkopo
nikakosa tena education udom hivyo nilikuwa
napiga tempo nikapata hela kidogo kwa ushauri
nikaona nitazeheka nikaenda kuripoti chuoni
nimeteseka sana ikafika sehemu nikaishiwa hadi
chupi kwa maisha ya udom yalivyo magnum
nimejikomba hadi mwaka ukaisha nimeomba
mkopo tena jamani ndiyo hivo nashindwa
nifanyeje jamani naomba ushauri wenu sina
pakushika ndugu zangu na chuo ndiyo
 
Pole sana kwa sasa upo nyumbaninau chuoni?
 
Wanasheria jamani naombeni. msaada wenu nifanyeje ili nisome mimi mtanzania mwenzenu jamani hiyo ni haki kweli maana ktka application zangu bodi ya mikopo niliambatanisha na ile form ya kusomeshwa na serikali toka o, level ikiwa na muhuri wa afisa elimu sekondari lakini sijapewa mkopo nifanyeje ndugu zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…