Naomba msaada wa sheria ya ndoa

Da hapo mkuu naona nenda kwa wachungaji wa dini wakusaidie then mludiane coz kuachana bdo tatizo kijana shuka chni usiwe mbogo mpenz wako hapo yatakwisha
 
me nafikiri hakuko na hyo haja..sababu huyo mtoto bado ni mdogo sana..na bado anahitaji malezi ya wazazi wote wawili..nikiwa na maana ya baba na mama...msiwe na fikra za kibinafsi...unganisheni fikra zenu na kurekebisha tofauti zenu kwa manufaa ya mtoto...
 
Mahali sio ndo hilo la kwanza..lakini kama mme kaa wote zaidi ya miaka miwili "under single roof" kuna kuwa na presumption of marriage na swala la mtoto sheria inaangalia the best interest of a child mara kwa mara mama ndo atakaa nae mpaka miaka saba.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
kaka sijafunga ndoa ila nimetoa mahali

hakuna cha ndoa hapo...wala cha talaka..kama anadai talaka mwandikie karatasi mwambie nimekuacha talaka tatu si mke wangu mimi fulani...na chini unaandika jina lake ashura binti katako...mchezo umeisha hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…