Mambaenock
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 427
- 107
Habari wana jf,natumaini mu wazima wa afya.
Mimi ninasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya kula chakula kila ninapotaka kula matokeo yake nazidi kupungua tu.
NOTE: siumwi ugonjwa wowote unaonisababishia kukosa hamu ya kula,
naomba msaada wenu.