hilo tatizo linatambulika pia kama malabsorption diesease kwamba una tatizo la digestive enzymes kufanya kazi inavyotakiwa,ugonjwa huu pia huambatana na dalili kama tumbo kujaa gas,kukosa choo,ama choo kinachotoka kinakuwa na hakiko kawaida kama unavyokuwa mzima kabisa chaweza kuwa na vitu kama kamas nk dk hupima choo nk
Kama dalili zako zinaendana na hayo muone dk kwa ushauri na vipimo,huu ugonjwa usipotibiwa kwa muda mrefu una madhara makubwa,ukipata matibabu ukapona njoo na feedback wengine waweze saidika