Naomba msaada wa tatizo la michubuko kwenye midomo

Matola92

Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
44
Reaction score
21
Kwa wataalam naomba kujua nna michubuko midogo midogo Kwenye lips zangu inachoma choma mithili ya pilipili.

Je Ni ukosefu wa nutrients flan pia tiba yake ni nini tafadhali
 
Kwa wataalam naomba kujua nna michubuko midogo midogo Kwenye lips zangu inachoma choma mithili ya pilipili. Je Ni ukosefu wa nutrients flan pia tiba yake ni nini tafadhali
Ni upungufu wa vitamins(avitaminosis) haswa zile za kundi B. Tumia matunda na mboga za majani kwa wingi (green leafy vegetables). Na pia unaweza ukatumia vidonge vya vitamins but ni muhimu kuhakikisha unakula a balanced diet ili tatizo lisijirudie.
 
Mkuu tumia Vaseline changanya na sukar nyeupe paka mdomoni wakati wa usiku kaa nusu saa suuza kwa maji ya uvuguvugu . tuletee mrejesho
 
Ni upungufu wa vitamins(avitaminosis) haswa zile za kundi B. Tumia matunda na mboga za majani kwa wingi (green leafy vegetables). Na pia unaweza ukatumia vidonge vya vitamins but ni muhimu kuhakikisha unakula a balanced diet ili tatizo lisijirudie.
[emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…