Naomba msaada wa tatizo la ngozi ya korodani kubanduka

Mukuu123

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2019
Posts
319
Reaction score
1,223
Za majukumu,

Mimi ni kijana nimekuwa na tatizo la kubanduka kwa ngozi ya korodani mara tuu ninavyomaliza ku sex na mwanamke na hii inatokana na kugusa yale uke kwenye korodani.

Nahitaji msaada wa kitabibu nijue chanzo na suluhisho la tatizo. Thank you in advance
 
hakuna kitu kama hicho,sababu ni uchafu mkuu, hiyo wanaita p*mbu erosion ,ukimaliza kuoga jifute na towel safi na uoge mara kwa mara na anti bacterial soaps.
 
hakuna kitu kama hicho,sababu ni uchafu mkuu, hiyo wanaita p*mbu erosion ,ukimaliza kuoga jifute na towel safi na uoge mara kwa mara na anti bacterial soaps.

Mkuu naoga sana na pia najisugua mnoo na inatokea tuu ninapokua nimemaliza ku sex kesho yake pumbu zina anza kutoa ngozi
 
Pole Sana kijana, acha kusex na ' vimeo' utakuja kuwa tasa siku moja.

Cha msingi muone daktari upate ushauri wa kitabibu.
 
Una fungus sasa Hizo sehemu za Nje za korodani zimekuwaga nyepesi sababu yakuliwa na fungus sana na maji uke yana Acid nzuri tu so sababu ya fungus kutafuna hizo korodani zako yale maji ya Uke yanauwezo wa kufanya hilo ganda la nje kubanduka kwa urahisi tu.

Tafuta TERBINAFINE cream upake kila unapooga.
 
Unatatizo la magonjwa ya zinaa tumia antibiotics hasa doxy utapona haraka zaidi
 
Msikilize huyu mwamba
 
Vipi unasex na mwanamke mmoja tu?

Inawezekana huyo mwanamke ndo ana fungus sugu, mi kuna mwanamke nilikuwa naye yan majanga yalikuwa hayaishi, nimetumia tube za kila aina. Nilivyoachana naye tu matatizo yote yakaisha!
 
Nashukuru sana kwa ushauri
 
Vipi unasex na mwanamke mmoja tu?

Inawezekana huyo mwanamke ndo ana fungus sugu, mi kuna mwanamke nilikuwa naye yan majanga yalikuwa hayaishi, nimetumia tube za kila aina. Nilivyoachana naye tu matatizo yote yakaisha!

Niko na mwanamke mmoja kwa sasa before that sikua na tatizo hilo kabisa
 
Mkuu naoga sana na pia najisugua mnoo na inatokea tuu ninapokua nimemaliza ku sex kesho yake pumbu zina anza kutoa ngozi
Unaumia??na ngozi ikitoka inarudi nyingine??
 
Hayo ni matokeo(results) ya ugonjwa wa zinaa,(kaswende, kisonono)nenda hospital kwa dactari bingwa.
 
Ilikuwa haiumi kivile. Nikajua nyeto ndio source kumbe hapana maana muda huo nilikuwa simjui mwanamke
Labda ulvyokuwa unapiga nyeto pumbu znamwagiwa shahawa ndo maana ngozi ikawa imababuka[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…