Naomba msaada wa tatizo la ngozi ya korodani kubanduka

Aisee kuna kitu inaitwa pangusa, ukiichezea ukaacha kwenda kumuona daktari inaweza ikakupangusa kisawa sawa
 
Aisee kuna kitu inaitwa pangusa, ukiichezea ukaacha kwenda kumuona daktari inaweza ikakupangusa kisawa sawa
Ndo kinini hiki...inakuwaje kuwaje na inasababishwa na nn isije ikawa kuna wenye nayo ila hawajui mwishowe pumbu lidondoke kutoka kwenue sac yake
 
Sio pumbu jero?
 
Hiyo ni fungus ni kawaida kwa mwanaume, nenda hospital watakupa dawa ya kupaka ila hakikisha huna unyevu unyevu muda wote kwasababu fungus wanasurvive zaidi kwenye unyevu.

Sent using Samsung J1
 
hakuna kitu kama hicho,sababu ni uchafu mkuu, hiyo wanaita p*mbu erosion ,ukimaliza kuoga jifute na towel safi na uoge mara kwa mara na anti bacterial soaps.
Hahahah umenikumbusha mbali sana mkuu "PUMBU EROSION " huu ugonjwa umetutesa sana kipind tupo Chuo.
 
Hiv
 
Usafi tu ndugu,Zaidi onana na wataalamu wa Afya,Hali ikizidi kuwa mbaya nikushauri uzikate tu hizo pumbu ubakie na Mb..oo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…