Naomba msaada wa tatizo la touch ya Samsung Note 5 haifanyi kazi

Naomba msaada wa tatizo la touch ya Samsung Note 5 haifanyi kazi

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Wakuu msaada . Simu yangu samsung note 5 touch yake hairespond na hata pen yake haifanyi kazi.

Je kwa wazoefu tatizo kama hili linatokana na nini na linatatulikaje? Gharama zake inaweze kuwa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom