Naomba Msaada wa Tiba

mkalusanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
369
Reaction score
446
Habari zenu wana Jf poleni na tozo poleni na kupanda Mafuta Mimi toka jana nimepata tatizo kila nikila chakula nasikia chumvi sanaa hata kama chakula hakina chumvi.

Pia nikinywa juice pia nasikia ina Sukari Sanaa juzi nilienda kupima Hospital nikaambiwa nina UTI nimepewa Dawa leo ni Siku ya pili Najisikia hivi kabla sijaludi Hospital naomba humu kuna Ma Dr naamini nitapata ushauli mimi Sipend kabisa kumeza Dawa ila sina jinsi hata kwenda Hospital nina Muda mrefu namshukuru Mungu Wapendwa naombeni Ushauli Asanteni Sana.
 
Nitafute WASSAP nitakusaidia 0779427472 itaisha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…