Naomba msaada wa tofauti ya maneno haya michezo na burudani

Michezo =mpira wa miguu, malede,netiboli,riadha
Burudani= Mziki,
 
Michezo = ni shughuli ya kimwili ambayo nia yake ni kuburudisha kwa kufata sheria na taratibu zilizowekwa ikiwa ni pamoja na kufikia lengo fulani. Mfano,mpira wa miguu,mpira wa kikapu,riadha, nk
 
Michezo ni burudani kati ya mchezaji na mtazamaji.
Burudani ni hali au hisia azipatazo mtu katika michezo au mchezo.
 
Michezo = ni shughuli ya kimwili ambayo nia yake ni kuburudisha kwa kufata sheria na taratibu zilizowekwa ikiwa ni pamoja na kufikia lengo fulani. Mfano,mpira wa miguu,mpira wa kikapu,riadha, nk
Kwa mantiki hii, ngumi siyo mchezo
 
Back
Top Bottom