Naomba msaada wa ufafanuzi kuhusu hii status ya NSSF

Naomba msaada wa ufafanuzi kuhusu hii status ya NSSF

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Wakuu,

Naomba msaada wa hii status ya NSSF kwenye account yangu.
Ni week ya 4 sasa tangu nifungue madai ya pesa zangu huko ila status inasoma bado lodged.
Screenshot_20240830_072150_Chrome.jpg
 
Nina mawenge gani chief?
Nieleweshe nielewe sio kuishia kuponda tu.

Subiri! Hizi benefit jina lake ni: Un employment benefit, hayo maneno hayahusiani na wewe binafsi

Claim status: Loged

Maana yake ipo kwenye process suburi

Mawenge ya nini sasa?
 
Subiri! Hizi benefit jina lake ni: Un employment benefit, hayo maneno hayahusiani na wewe binafsi

Claim status: Loged

Maana yake ipo kwenye process suburi

Mawenge ya nini sasa?
OK mkubwa.
 
Back
Top Bottom