kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Not trueLodged = sinzia / lala / π
Account yako haijapokea mchango wa mwajiri kwa muda mrefuuu
Nina mawenge gani chief?Una mawenge tu na sio mwelewa
Michango yote iko sawa.Lodged = sinzia / lala / π
Account yako haijapokea mchango wa mwajiri kwa muda mrefuuu
Nina mawenge gani chief?
Nieleweshe nielewe sio kuishia kuponda tu.
Jibu Sahihi hili hapaLodged means ombi limepokekewa na bado linafanyiwa kazi,wakimaliza hatua zao zote status itabadilika na kusomeka approved.
OK mkubwa.Subiri! Hizi benefit jina lake ni: Un employment benefit, hayo maneno hayahusiani na wewe binafsi
Claim status: Loged
Maana yake ipo kwenye process suburi
Mawenge ya nini sasa?