mchuziwapweza
Senior Member
- Aug 19, 2018
- 107
- 149
Nahitaji mtu mwenye uelewa wa biashara ya kukopesha fedha (micro credit).
Je leseni naipata wapi baada ya kufungua kampuni?
Minimum capital ni shilingi ngapi?
Naweza pata mtu wa kunifanikishia kupata leseni?
Je leseni naipata wapi baada ya kufungua kampuni?
Minimum capital ni shilingi ngapi?
Naweza pata mtu wa kunifanikishia kupata leseni?