Bosco Robert
Member
- Jan 12, 2016
- 65
- 53
- Thread starter
-
- #21
Kwahivyo mtu asiulize linalo mtatiza kisa..[emoji15]Hii mada na yanayojadiliwa hapa ni udhalilishaji wa kina mama zetu. Sifahamu watu mna matatizo gani, nchi ina mambo mengi sana ya kimsingi ya kujadili lakini watu mnapoteza muda kwenye mambo yasiyo ya kimsingi tena kuwadhalilisha hawa waliotuzaa, hivi kweli unapoleta mada kama hii huwa unafikiria kweli kuwa una mama, dada, shangazi, fikiria kuwa unmwambia kati ya hao kabla ujaleta mada yako ya hovyo kabisa. Hata kama ni kuburudisha watu kuna mambo ya jokes na yakuchekesha mengi tu, kwanini wanaume tunaendelea kuwadhalilisha kina mama kwa tungu na majina ya dhihaki, hadi lini? hakuna mambo ya kuwasifia hawa kina mama kwenye jamii hii yetu.
Kupunguza stress sio lazima utukane, kwani kwanini usimuulize mamake mzazi kuwa mama mbona nikuambia kaa vizuri mchana una bana miguu na usiku huwa mnapanua miguu halafu utapata jibu lake. Mambo ya kuondoa stress yapo mengi tu si lazima kudhalilisha wanawake. Ukiambiwa tu hapo kuwa mtu kampanua miguu dadako utakuja juu kuwa umetukanwa sasa unapo generalize wanawake wote maana yake mamako naye yupo.Kwahivyo mtu asiulize linalo mtatiza kisa..[emoji15]
Alafu kama hayo mambo mengi ya nchi yanayo hitaji kujadiliwa, siuende kwenye majukwaa mengine ili ukajadili yanayo jenga nchi...[emoji57]
Ebu tupishe sie tupunguze stress bhana.....
Ngoja wajeHivii, hili neno "KAA VIZURI" kwa mwanamke lina maana gani? Wakati wa mchana Mwanamke akiwa nje ukimwambia "KAA VIZURI" anabana miguu, Lakini wakati wa usiku akiwa kitandani ukimwambia "KAA VIZURI" anapanua miguu, Hebu nisaidie mtaalamu wa mambo haya? KAA VIZURI ni Kubana miguu au Kupanua miguu?..