Naomba msaada wa ushauri ipo vp km nikijaza hv kwa udahili wa chuo kikuu mwaka huu?

MAKUNENGO

Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
69
Reaction score
6
Nina umri wa miaka 21.. Kwaiyo kwa heshima na taadhima ningeomba uitikie pale unapostahili,
Kwa wakubwa zangu shikamooni.....na wenye rika langu au wadogo zangu habari ya sasa..!!
nilimaliza mwaka jana Kwa mchepuo wa CBG. nilihairisha mwaka kwa sababu nyingi hivi...
na haya ni matokeo yangu ya form six
Gs D, Chem E, Bios D, Geo C, Bam E ( 2014).
haya ni mapendekezo yangu kwa udahili mpya kwa mwaka wa masomo 2015/2016
1. Bachelor of science in psychology and counseling
Jordan university
2. bachelor of science in computer science and software Engineering... RUCO
3.Bachelor of science in production and operation management MZUMBE
4. bachelor of science in environment science UDOM
5.Bachelor of science education ST JOHN.

Kutokana na experience yako na jinsi unavyofaham katika compition ya ajira/ kujiari na hata uwezekano wa kupata nafasi katika vyuo tajwa hapo juu naomba unishauri km niache ivyo ivyo... nifanye nyongeza ipi huku nikipunguza kipi katika mtiririko upi?
ushauri siyo lazma sana uzingatie kozi ambazo ni priority za loan ... just zozote ambazo unaufaham nazo..
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU.
 
TOA no 1...weka bachelor of technology in laboratory technology...DIT
 
Jaza kozi za education katika sayansi ajira ni rahisi kwingine ni shidaaaa
 
TOA no 1...weka bachelor of technology in laboratory technology...DIT

ahsante ... iyo ninaipenda sana sema sina izo qualifications ya pale, wao wanataka cut point 4 . mimi nina 3.5.. nisaidie nyingne mkuu
 
Jaza kozi za education katika sayansi ajira ni rahisi kwingine ni shidaaaa

nashukuru mkuu. .. ila bila shaka unanishauri nifanye nyongeza ya education with or in science siyo?
nimeweka moja ST john .... so kwa nyongeza kwa kozi za education unanishauri nipunguze zipi au ipi kati ya izo hapo juu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…