chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
na security ya mtu hapo inakuwa ni nini?Asilimia 3 per month na unaweza kuchukua mkopo kwa muda wa kuanzia miezi mitatu hadi miezi sitini
Mkuu hao platinum ni wakukimbia kabisaa,walimu hua wanakopa huko cha moto hua wanakiona.hiyo too much, ila kama unakopa kisha unalipa ndani ya miezi miwili kuna option hiyo au minimum period ni mwaka?
Ajira yake ndio dhamana yake maana sisi tunadeal na watumishi wa serikali peke yakena security ya mtu hapo inakuwa ni nini?
Kwa platinum kuna option ya kulipa deni wakati wowote utakaohitaji wewe na utalipa riba ya kipindi ulichokaa na pesa peke yakehiyo too much, ila kama unakopa kisha unalipa ndani ya miezi miwili kuna option hiyo au minimum period ni mwaka?
Ila mbona kasema riba yao ni 3% kwa mwezi, ambayo ni reasonble, kwa mwaka ni kama 36% au milioni 1,000,000 kwa 1,360,000 more or less, au??Mkuu hao platinum ni wakukimbia kabisaa,walimu hua wanakopa huko cha moto hua wanakiona.
Sasa mkuu kama riba ni 3% kwa mwezi, akikopa kwa mwaka si inakuwa 36% approxmatelly (bila ku compund)..sasa inakuaje mtu anakopa milioni kisha anarudisha milioni 2 baada ya mwaka, naona ukikopa milioni maxmum utalipa milioni na nusu hivi..au?Kwa platinum kuna option ya kulipa deni wakati wowote utakaohitaji wewe na utalipa riba ya kipindi ulichokaa na pesa peke yake
Hivyo ukikopa platinum kulipa riba kubwa ni uamuzi wako mwenyewe
Ingekua poa Kama ungekua umekopa wewe na ukatoa ushahidi wa mabaya uliyotendewa na platinum kuliko kuchukua maneno ya watu bila kuwa na ushahidi na kuyaleta huku, kumbuka kuna ushindani mkubwa wa kibiashara au wakati mwingine ufinyu wa elimu ya mikopo kwa mfano mtu akope milioni moja kwa miaka mitano aje arudishe million mbili alafu alalamike kuwa riba ni kubwa bila kuangalia amekaa na pesa kwa muda ganiMkuu hao platinum ni wakukimbia kabisaa,walimu hua wanakopa huko cha moto hua wanakiona.
Exactly mkuuIla mbona kasema riba yao ni 3% kwa mwezi, ambayo ni reasonble, kwa mwaka ni kama 36% au milioni 1,000,000 kwa 1,360,000 more or less, au??
Sasa kama huoni utofauti wa kukopa milioni moja na anayekopa milioni sita we hata hustahili kupata mkopo aiseeKukopa milioni 1 ukarudisha 2 kuna tofauti gani na kukopa 6 ukarudisha 9?
Kuna tofauti afisa, rejea kwenye makabrasha ya lending. Tatizo kubwa la financial institutions nyingi zina watu ambao hawajaomea mikopo ila wana semina za kukopesha.Kukopa milioni 1 ukarudisha 2 kuna tofauti gani na kukopa 6 ukarudisha 9?
Kanuni ipi unataka nikuwekee?Mikopo ni ujanja ujanja tu mnaweka asilimia na nn kuwachanganya wateja, hebu wekeni hapa ile kanuni watu waelewe...
Ya kupata installmentKanuni ipi unataka nikuwekee?
Umekopa milioni moja kwa miezi sitini ukarudisha milioni mbili na ukakopa milioni sita kwa miezi 30 au 12 ukarudisha milioni 9 tofauti iko wapi ndugu?Kuna tofauti afisa, rejea kwenye makabrasha ya lending. Tatizo kubwa la financial institutions nyingi zina watu ambao hawajaomea mikopo ila wana semina za kukopesha.
Weka riba yenu platinum hapa acha story nyingi,nenda kaangalie walimu na kada za chini salary slip zao mnavyowakata.Interest zenu ni kubwa sana.Ingekua poa Kama ungekua umekopa wewe na ukatoa ushahidi wa mabaya uliyotendewa na platinum kuliko kuchukua maneno ya watu bila kuwa na ushahidi na kuyaleta huku, kumbuka kuna ushindani mkubwa wa kibiashara au wakati mwingine ufinyu wa elimu ya mikopo kwa mfano mtu akope milioni moja kwa miaka mitano aje arudishe million mbili alafu alalamike kuwa riba ni kubwa bila kuangalia amekaa na pesa kwa muda gani
Riba kubwa platinum ni mteja mwenyewe anaitaka kopa kwa muda mchache mwaka mmoja kushuka chini hutaichukia platinum au ingia mkataba wa muda mrefu ila wahi kulipa deni wengi wanaoijua platinum wanaifurahia mkuu
1. 3.75 [emoji808] muda wa mkopoYa kupata installment
Riba nimeshaweka, sababu ya riba kuwa kubwa au ndogo nimeweka mpaka kanuni ya kupata makato yetu platinum nimeweka bado hujaridhika tu ndugu?Weka riba yenu platinum hapa acha story nyingi,nenda kaangalie walimu na kada za chini salary slip zao mnavyowakata.Interest zenu ni kubwa sana.
50%rate za riba zao mkuu..niambie