Naomba msaada wa ushauri wa kimasomo.....

Shabrahman

Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
42
Reaction score
3
kwa jina naitwa shabani ni mwanafunzi nilie hitimu o-level mwaka 2013 na kupata matokeo yafuatayo PHYSICS-B ,CHEMISTRY-C ,BIOLOGY-B+ ,B/MATHS-B ,ENGLISH-B+ na C kwa masomo yaliyobaki. na kipindi cha kujaza SEL form first priority nilichagua TECHNICAL COLLEGE[Must, Dit ,Atc etc] na second priority ilikuwa form 5&6 respectively. hivyo basi kutokana na matokeo hayo nina matumaini makubwa ya kuchaguliwa huko technical colleges sababu hata vigezo nimetimiza.
Sasa naombeni ushauri ni course ipi nzuri ya kuchukua kulingana na soko la ajira[market] na ugumu wa kozi[ingawaje hakuna kozi nyepesi ila kuna zenye unafuu kulingana na uzoefu wenu] kati ya hizo apo.
1.civil engineering
2.computer science
3.information technology
4.mining engineering
5.electric engineering
6.electronics and telecommunication engineering
7.mechanical engineering.
??????????????????????????????????????????????????
 
kwani kozi si umeshajaza ktk celform!anwy,kapige civil engineering.kuna watu wanakimbilia biomedical !biomedical haina degree hapa bongo!ok,hata ukisoma degree nje ya nchi lkn bado ktk ajira utakutana na lundo la watu wa electronics!civil ni kozi yenye ajira endelevu!nafkir umensoma ndugu yang shaban.
 


Mkuu biomedical imeingiaje hapo? !

Na Electronics na Biomedical ni Maji na mkaa !
Havina uhusiano wowote !
 
huenda mleta uzi alisahau kutaja!kuna ubaya wa kutoa tahadhar?biomedical equipment engineering unaijua?inadeal na vifaa vya kielectronics so m2 wa electronics hana shea?we ulidhan biomed ikoje?au kwa kua ni koz mpya,nmempa tahadhar kijana huenda akashauriwa na wenzaka kusoma hiyo koz!cjasema kuwa ni mbaya lkn civil ni nzuri zaid.mshauri bora ni yule anaekushaur na kukupa tahadhari,so nlitaja biomed kama tahadhari!ttzo mkishajua kuingia net bas ni fujo!
 
mbona unatoka povu?hii kozi ina deal na vifaa vya kielectronics vya hospitali eg.radiograph machines,fluoroscopic xrays,ultrasound nk.wa2 wa electronics wana shea ktk repair na maintaince ya hivo vifaa.ndomana huitwa electro-mechanics technologist.cjasema kuwa kazi hii inafanywa na wa2 wa electronics nmesema wao wanashea!vulavula.
 

Mimi si mtaalamu wa chochote hapo juu ila nina ushauri huu. Unapofanya choice ya nini cha kusoma, napenda usiwe GUIDED na chances za ajira. Ulimwengu wa sasa hauko rafiki kiasi hicho cha kuweza kuku accomodate katika hatua uliyopo sasa. Kama unajitambua vizuri kasome kile ulicho na uwezo nacho. Usiangalie hizo B+ au A ulizonazo kama kigezo cha kuweza kufanya kozi yeyote hapo juu kwa ufanisi na ukaifurahia. Siku zote huwa nawashauri vijana kama wewe kuwa CAREER MAPS (Ramani yako ya maisha/ujuzi/vitu unavyotaka kufanya kwenye maisha yako) ndio msingi wa maamuzi mazuri na wala hutakuja kujuta. Maamuzi hayo yatakuifanya uwe HAPPY & CONFIDENT hata ajira isipopatikana kwa wakati. Fanya personal assessment kwanza, alafu sisi washauri tuwe tunaongezea tu, ila usitufanye kuwa BASIS of your career choice, utajilaumu. Ukishafanya hayo tuwasiliane kama unahitaji Career GUIDANCE zaidi.
 
Soma na uelewe alichokisema mkuu hapo chini.Success comes from doing what you like,hela zitakuja tu.Lakini pia interest can be developed by exploring and reading

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…