A akimu mwankuga New Member Joined Jun 20, 2024 Posts 1 Reaction score 1 Jun 20, 2024 #1 Habari naomba msaada wa utambuzi hili ni aina gani ya madini Attachments IMG_20240620_010042_607.jpg 2.7 MB · Views: 16
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,258 Reaction score 20,386 Jun 27, 2024 #3 Dhahabu mshenzi hiyo. Haina soko lolote
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Jun 28, 2024 #4 Imagine hii ni dhahabu isiyo halisi😁😁. Hakika watu na fani zao,mimi na ujanja wote sijui feki na og tofauti ni ipi,hata kidani cha dhabu cha laki 4 na elfu 3 sio tofauti yake.
Imagine hii ni dhahabu isiyo halisi😁😁. Hakika watu na fani zao,mimi na ujanja wote sijui feki na og tofauti ni ipi,hata kidani cha dhabu cha laki 4 na elfu 3 sio tofauti yake.
James Rodriguez 10 Senior Member Joined May 4, 2023 Posts 140 Reaction score 227 Jun 30, 2024 #5 Saguda47 said: Dhahabu mshenzi hiyo. Haina soko lolote Click to expand... Kwa maana ya chalcopyrte ama pyrite mkuu!!!!!
Saguda47 said: Dhahabu mshenzi hiyo. Haina soko lolote Click to expand... Kwa maana ya chalcopyrte ama pyrite mkuu!!!!!