Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,823
- 3,816
We uko interested kufanya biashara gani?
Kwani biashara lazima fremu?Si anaweza piga forex?Hiyo laki sita ndogo sana haitoshi hata kulipia frame.
Tafuta angalau milioni 5 nikupe mawazo ya biashara.
[emoji15][emoji15][emoji15]Hiyo laki sita ndogo sana haitoshi hata kulipia frame.
Tafuta angalau milioni 5 nikupe mawazo ya biashara.
Ingia playstore pakua app inaitwa "Makala za biashara" kuna biashara nyingi sana unaweza ukachagua unayoweza kufanya.Habari za asubuhi wanajamvi
Nina mshukuru Mungu kwa kunipa uhai na pia kuniwezesha kuwa mmoja wa wanajamvi. Suala la muhususi ninahitaji ushauri wa kibiashara,
Nina laki sita hapa kwenye HALOPESA yangu ambayo ninataka kufanya biashara ila mpaka sasa hivi sijajua nifanye biashara gani ambayo kwa mtaji wangu inaweza ikanisaidia kupata hata elfu moja moja kila siku kwajili ya matumizi ya familia yangu.Natanguliza shukrani wakuu [emoji120]
Ingia playstore pakua app inaitwa "Makala za biashara" kuna biashara nyingi sana unaweza ukachagua unayoweza kufanya.
[emoji15][emoji15][emoji15]
Kwani biashara lazima fremu?Si anaweza piga forex?
Uko wapi
Hiyo laki sita ndogo sana haitoshi hata kulipia frame.
Tafuta angalau milioni 5 nikupe mawazo ya biashara.