Naomba msaada Wafanyabiashara na Wajasiriamali

Naomba msaada Wafanyabiashara na Wajasiriamali

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
372
Jamani wakuu.. nimewakimbilia ili nipate msaada wa mawazo juu yenu juu ya kuanza biashara.. nina mtaji wa Mil. moja
(1,000,000). na nina penda kufanya biashara ili nijiongezee kipato na hi ni baada ya kuona ajira ni issue ktk nchi yetu ...so please naomba kusaidiwa business ideas.
 
kaka ni wazo zuri sana ulilonalo but hamna mtu ambae atakushauri ufanye nini ni wewe mwenyewe ujue unapendelea nini na pia humu ndani kuna maelezo mengi sana ya biashara za kufanya ni kutulia nakujitahidi kuzitafuta..asante kila la heri
 
Tafuta sehemu ununue nguo za mitumba za watoto grade uuze.
 
Back
Top Bottom