Jamani wakuu.. nimewakimbilia ili nipate msaada wa mawazo juu yenu juu ya kuanza biashara.. nina mtaji wa Mil. moja
(1,000,000). na nina penda kufanya biashara ili nijiongezee kipato na hi ni baada ya kuona ajira ni issue ktk nchi yetu ...so please naomba kusaidiwa business ideas.