BABU MAENDELEO Member Joined Apr 30, 2013 Posts 93 Reaction score 19 Feb 25, 2014 #1 Mimi ni mwanafunzi wa diploma kuna tetesi nimezipata kuwa ukimaliza diploma unauwezo wakusoma postgraduate kama umefaulu vizuri bila kusoma bachelor degree na vigezo wanavyotumia ni vipi?
Mimi ni mwanafunzi wa diploma kuna tetesi nimezipata kuwa ukimaliza diploma unauwezo wakusoma postgraduate kama umefaulu vizuri bila kusoma bachelor degree na vigezo wanavyotumia ni vipi?