The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Wataalam wa Saikolojia naomba mnisaidie.
Jinsi ninavyo zidi kupata pesa, na ndio idadi ya kutembea na wanawake inaongezeka sana, tena nawapata Kwa urahisi sana tofauti nikiwa Sina pesa
Ila changamoto, ni kwamba kardi ninavyo pata hao wanawake na ndio Wazo la KUOA linapungua Kwa kasi sana, nimejikuta Sina interest kabisa ya kuingia kwenye ndoa.
Umri wangu 30s
Nifanyaje? Ili niwe na interest ya kuoa Ili nitulie