Naomba msaada wakuu saikolojia

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Wataalam wa Saikolojia naomba mnisaidie.

Jinsi ninavyo zidi kupata pesa, na ndio idadi ya kutembea na wanawake inaongezeka sana, tena nawapata Kwa urahisi sana tofauti nikiwa Sina pesa

Ila changamoto, ni kwamba kardi ninavyo pata hao wanawake na ndio Wazo la KUOA linapungua Kwa kasi sana, nimejikuta Sina interest kabisa ya kuingia kwenye ndoa.

Umri wangu 30s

Nifanyaje? Ili niwe na interest ya kuoa Ili nitulie
 
Si tushakubalina wewe ni kataa ndoa?
 
Mpokee Yesu awe Mwokozi wa maisha yako. Hayo yote unayofanya hutatamani kuyafanya.
 
Filisika watakukimbia wote
 
Kweli watu tunatofautiana, Mimi jinsi hela inavyozid kuingia ndio nazid kua mbahili, Yani starehe yangu kubwa mwisho wa mwezi nitume mzigo wa maana account yangu ya bank, ukishakua na mwanamke mmoja na mchepuko mmoja WA kugusa siku moja moja mbona poa tuu?
 
Unauliza au unaelezea? Naona umemalizia na alama ya kuuliza
 


Hilo ni tatizo la AKILI huitwa hedonistic hii inaweza kukutokea katika

Pombe
Wanawake
Kujichua
Smoking
Betting
And so on

Hedonistic ni hali akili yako inakuwa inajitengeneza kichwani kwamba ukipata kitu fulani utapata Furaha the more unapata hicho kitu unajikuta unahitaji zaidi.


So mpaka hapo wewe ni hedonistic person

Njia za kuondoa ilo tatizo jithidi ufanye meditation then jitahidi ili mental -well-being .

Baada ya MUDA akili ikitulia utakuja tukupe njia nyingine za kuweza kuwa sex driver and not sex driven
 
Uko wapi dear......
 
Endelea hivyo hivyo kama akili yako ndivyo inavyokutuma.
 


Ongeza bidii na ibada na kufuata maelekezo ya vitabu kwa bidii! Shida sio kukosa hamu ya kuoa, Hakuna faida ya kuoa, shida ni huo umalaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…