Naomba msaada wakuu

Hassani

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
900
Reaction score
1,632
Habari zenu wakuu wangu,kwa ufupi mimi najifunza C++,natumia dev c++ compiler,tatizo langu liko kwenye kutumia header files,pamoja na kutumia mifano toka kwenye kitabu bado compiler inaniletea linker error,nachokifanya ni kucreate new project,then naandika class file with "h" extension,napoandika program yangu nainclude "myfile.h",lakini mwisho wa siku inaniambia[linker error] undefined reference to..,so naomba wataalam wa hii kitu wanisaidie.
 
kwanza uncle, ningependa kukuuliza, unajifunza c++ kwa sababu upo shule unasoma, au unataka kuanza career kwenye programming.

Mimi sio mtumiaji wa borland, huwa natumia visual studio.

Kama itakusumbua sana bila kupata solution, may be unaweza kujaribu visual c++, everything is straight forward. Jaribu kucheki kwenye google pia, hope kuna forums wameshalizungumzia hilo.

all the best
 

Siko shule mkuu,ila ndo naanza kivyanguvyangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…