ingia kwenye web ya chuo www.sjut.ac.tz then download joining instruction...ambamo ndani yake ndo kuna form za accomodation...afu nahic kama umechelewa ko ikiwezekana kesho uitume kwao kabla ya deadline....karib SJUT
Ingia kwenye web ya chuo..St.John's University of Tanzania alafu download joining instruction ambamo ndani ndo kuna accomodation form...afu itume mapema...