Ndugu wana jf mie ninasumbuliwa na tatizo la kujisikia shavu la upande wa kushoto kukosa nguvu au kulegealegea hivi, kuna kipindi ilitokea mishipa ilikuwa inauma nilikaa baada ya muda hali ikatoweka na badae ikajitokeza tena maumivi ya mishipa kwenye mdomo kuuma pia ikapungua na sasa najisikia dalili hizo, naomba msaada wa ushauri na tiba nichukue jukumu gani! naomba msaada wenu!!.