MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Naona hapa ni Kiblurey zaidi na kinoname.Habari wanaboard
Ninawaomba mnisaidie naona akili yangu siku hizi inasizi.
Kuna ule usemi usemao :A way to Man's Heart is through his Stomarch......... mimi siuelewi jamani naomba mnisaidie una maanisha nini?
Aksanteni
Jamani Charity sijui ngoja nijaribu kutafsiriNaona hapa ni Kiblurey zaidi na kinoname.
Unaweza iweka kwa kiswahili tafadhali? lugha yetu ya taifa.Halafu twende sawa.
Funzadume hapana mchango wa arusi???? No way kabisamie nilifikiri unataka mchango wa harusi kumbe ni issue ya kidhungu
mie mwenyewe walimu wangu walikuwa dizaini ile ya square root kidhungu mbele akiendi nyuma akirudi
So ni through maakuli eh? Sasa hii ni applicable kwa wanaume wote au baadhi kaka Bigirita?Mi nikishibaga tu baaasiiii!!
Yani mapochopocho, madikodiko, mi mtima wangu mali yako mama!!
Haijalishi kama wapika weye! ukihakikisha vinakuwepo mezani, kama vile mimi
nitahakikisha vinakuwepo kwenye friji, mi kwishnei!!
Habari wanaboard
Ninawaomba mnisaidie naona akili yangu siku hizi inasizi.
Kuna ule usemi usemao :A way to Man's Heart is through his Stomarch......... mimi siuelewi jamani naomba mnisaidie una maanisha nini?
Aksanteni
kwa taaluma ya kidaktari nazani inamaanisha ,ukitaka kufanya operesheni ya moyo ni lazima ukachane na kautumbo japo kidogo.
kwenye taaluma ya mahusiano SINA JIBU. dikshineri langu la mahusiano limeibiwa.
BTW: hiyo spelling ya stomach nadhani umeikosea kidogo.

Hapo kwenye RED ngoja aamke!!Naona hapa ni Kiblurey zaidi na kinoname.
Unaweza iweka kwa kiswahili tafadhali? lugha yetu ya taifa.Halafu twende sawa.
So ni through maakuli eh? Sasa hii ni applicable kwa wanaume wote au baadhi kaka Bigirita?
Usimnong'oneze......useme kwa nguvu wote wapate elewa!!Mjukuu shkang!
Naomba ustuke kidogo kuhusu tumbo linalozungumziwa hapo. Watoto wakilala unistue nikuambie.
Duh!! nafikiri, 60% flani inakuwaga hivyo, wengine ni thru the throat!! yani, maneno.....aka VUVUZELA laini laini lakini!!So ni through maakuli eh? Sasa hii ni applicable kwa wanaume wote au baadhi kaka Bigirita?
Hebu nisome hapo chini unielewe vizuri. Kuna maakuli ya namna mbili ujue...... Stuka!!!So ni through maakuli eh? Sasa hii ni applicable kwa wanaume wote au baadhi kaka Bigirita?
Mjukuu shkang!
Naomba ustuke kidogo kuhusu tumbo linalozungumziwa hapo. Watoto wakilala unistue nikuambie.
Kuna wengine humu bado hawajatahiriwa, hawapaswi kusikia ya wakubwaUsimnong'oneze......useme kwa nguvu wote wapate elewa!!
MJ1, huyu bado ana-hang over, usimsikilize bana!
we mdanganye tu. Shauri zake akikuamini.Duh!! nafikiri, 60% flani inakuwaga hivyo, wengine ni thru the throat!! yani, maneno.....aka VUVUZELA laini laini lakini!!
Ah Kweli Babu ukubwa dawa yaani mwenzio wala sikuwahi kufikiria huko kwingine loh..... hadi naona aibu kuuliza.