Wakuu, mimi kijana wenu nasumbuliwa na mguu sasa miaka miwili, nimehangaika kwenye mahospitali huko wameshindwa.
Tatizo langu ni kwamba, nilianza kuumwa mgongo kwa saana baadae mguu wa kulia ukawa unauma kama una uvimbe ndani hivi,hasa wakati wa asubuhi na nikikaa sahemu ndefu miguu ikiwa inahung basi nikikanyaga unyayo chini nasikia maumivu makali saana ndugu.
NAOMBENI MSAADA WENU TAFADHALI.