Mpasuajipu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 836
- 50
nenda kwenye login, click I cant access my account
chagua "My account may have been compromised" fuata maelekezo.
wapopo at work jamaa washenzi sana hawa,pole ndg yangu ila fuata huo ushauri wa wataalamu hapo juu
Ndg wana Jf,
Naomba msaada wa jinsi ya kuirejesha email yangu ambayo imevamiwa jana na kusambaza ujumbe kuwa naomba pesa kwa watu wanisaidie eti nimeibiwa, jambo ambalo si kweli.
Nilikuwa natumia Yahoo.com sasa siwevi kuingia nimejaribu kuchange password lakini haijafanikiwa.
Kwa yeyote mwenye utaalamu zaidi anielekeze tashukuru sana maana kuna email za kazini na folders muhimu za kazi siwezi kuziona sasa.