Naomba msaada wenu jamani

Naomba msaada wenu jamani

Wema Ally

Member
Joined
May 29, 2015
Posts
19
Reaction score
9
Habar zenu,

Jamani mimi na tatizo nikijisaidia haja kubwa inatoka na damu siku ya 2 sasa na sina jeraa lolote.

Naombeni msaada wenu wa tiba au ushauri maana cjui inatokana na nini.



 
Kunywa maji mengi kwa siku at least lita 3-5.Kisha ukapime ulcers !! nimejaribu tu kwa uzoefu wataalam watadadavua zaidi bt anza sasa na maelezo nilokupa ukusubir wataalam waje!!!!!!!
 
kama kinatoka laini...kwanza kapime choo(stool)..
kama ni kigumu basi kunywa maji ya kutosha...
 
Back
Top Bottom