Wema Ally Member Joined May 29, 2015 Posts 19 Reaction score 9 Jun 9, 2015 #1 Habar zenu, Jamani mimi na tatizo nikijisaidia haja kubwa inatoka na damu siku ya 2 sasa na sina jeraa lolote. Naombeni msaada wenu wa tiba au ushauri maana cjui inatokana na nini.
Habar zenu, Jamani mimi na tatizo nikijisaidia haja kubwa inatoka na damu siku ya 2 sasa na sina jeraa lolote. Naombeni msaada wenu wa tiba au ushauri maana cjui inatokana na nini.
S SHAKIULA Senior Member Joined Jun 20, 2013 Posts 121 Reaction score 24 Jun 9, 2015 #2 Kunywa maji mengi kwa siku at least lita 3-5.Kisha ukapime ulcers !! nimejaribu tu kwa uzoefu wataalam watadadavua zaidi bt anza sasa na maelezo nilokupa ukusubir wataalam waje!!!!!!!
Kunywa maji mengi kwa siku at least lita 3-5.Kisha ukapime ulcers !! nimejaribu tu kwa uzoefu wataalam watadadavua zaidi bt anza sasa na maelezo nilokupa ukusubir wataalam waje!!!!!!!
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 Jun 9, 2015 #4 kama kinatoka laini...kwanza kapime choo(stool).. kama ni kigumu basi kunywa maji ya kutosha...