Naomba msaada wenu kuhusu kozi za chuo

Naomba msaada wenu kuhusu kozi za chuo

Hapo umechaguliwa bachelor of arts with education na sio Law, so kama unataka uchaguliwe Law inabidi ufanye application upya na hiyo bachelor of Law uweke kama chaguo la kwanza.
 
Sasa kama uliomba Education kabla ya Law si ina maanisha unaipenda zaidi

ndio maana umechaguliwa hiyo.
 
Hapo umechaguliwa bachelor of arts with education na sio Law, so kama unataka uchaguliwe Law inabidi ufanye application upya na hiyo bachelor of Law uweke kama chaguo la kwanza.
Ninafanyaje application upya coz sioni option ya ku apply upya et
 
Back
Top Bottom