naomba msaada wenu:natafuta kazi customer care/call center...

Qt B

Member
Joined
Jan 26, 2012
Posts
78
Reaction score
4
habari wanajf!naomba msaada wenu, nina mdogo wng anatafuta kazi aina ya customer service au call center:elimu yake ni kidato cha sita ila akasoma na certificate ya mambo ya customer care+marketing +computer anafahamu pia...anahitaji kujiendeleza kielimu ila financialy hatuko vizur sana i mean the family kwa ujumla hivyo tunajtahid atleast apate hata kazi za call center kwenye mitandao ya simu or else atlest aweze kumove on na family tukiadd up kidog itasaidia yey kusoma na kufikia malengo...naamini mtanisaidia..asanteni sana..
 
Apeleke Cv erolink pale Morocco kwa vodacom, na spanco airtel hapo morocco.
 
asante king..kesho ataenda hizo sehemu apeleke cv yake...
 
Kama alivosema king, cv ipelekwe erolink(c.care agent vodakom), spanco kwa airtel na maeneo ya mikochen nimesahau jina kwa ajil ya zantel(au aende zantel wamwambie cv aipeleke wap)
 
Erolink hawapo moroco tena aende masaki opposite marrybrown ndo wamehamia huko
 
Erolink hawapo moroco tena aende masaki opposite marrybrown ndo wamehamia huko

bado office zao za morocco zinafanya kazi kama kawaida. Tena pale ndo Interview za Vodacom watu wanapigiaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…