mimi ninatarajia kumaliza diploma ya IT MUCCOBS mwakani, nimefikiria na nimeshauriwa kubadili programme , wengi wanachuo wanaochuku degree ya IT wamenishauri kua degree ya IT ni ngumu na vilevile haina soko hapa tanzania, je ni kweli na mnanishauri nini? na nia yangu ni kuendelea MUCCOBS.