kaka mi ni mwanafunzi then nahitaji msaada juu ya hili, "fafanua kisomi"haina soko masoko yote haya yaliyojaa tz kariakooo,manzese,mwenge,buguruni,tandale kote kuna masoko huko....
mimi ninatarajia kumaliza diploma ya IT MUCCOBS mwakani, nimefikiria na nimeshauriwa kubadili programme , wengi wanachuo wanaochuku degree ya IT wamenishauri kua degree ya IT ni ngumu na vilevile haina soko hapa tanzania, je ni kweli na mnanishauri nini? na nia yangu ni kuendelea MUCCOBS.
kama kimbilia kwene kimbilio la wote(edcation)
Kasome architecture, geomatics au hata building economics pale ARU, au MUST kwa architecture pia.
Utatoka poa kijana
100% you are a GREAT THINKER..