Naomba msaada wenu wa kimawazo.

JIMMY JORAM

Member
Joined
May 1, 2013
Posts
38
Reaction score
20
Naombeni msaada wa kimawazo; H-(E) K-(E) L-(S) na gs-F,Je nikiomba chuo nitapata(degree)
 
Naombeni msaada wa kimawazo; H-(E) K-(E) L-(S) na gs-F,Je nikiomba chuo nitapata(degree)
Omba Open utapata. Wana utaratibu mzuri wa kukuendeleza. Kama wataona hizo hazitoshi watakuanzishia Foundation course. Ukipita hiyo unaanza degree kama kawa. Bidii yako tu.
 
Minimum admission point kwa degree chuo chochote ni 2.5 sasa hako kwa F ya GS ndio katakunyima chuo mkuu coz unapoint 2 xo umelack 0.5 ya GS,pole xna jembe
 
Apply utapata kwani una 2.5 minimum entry ya university usihofu gs sio ishu kwan wapo weng walipata f na wapo universty au unaweza chukua form moja kwa moja unvrsty bla kupitia tcu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…