Naomba Msaada wenu wa kisheria tafadhali

Princess Somali

Senior Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
182
Reaction score
66
Mtaniwia radhi maana mimi sio muelezaji mzuri

Inshort ni hivii kama wiki moja iliyopita mdogo Wangu alikua anahitaji chumba cha hostel, so akaja kwangu na kunieleza kua amepata na hivyo anahitaji pesa, nkampatia kama 250,000 kwa ajili ya kwenda kulipia miezi 5 kwa kua kila mwezi ni elfu50,, sasa juzi nlivompeleka kwenda kurepoti nkakuta mazingira ya hiyo hosteli si mazuri, sehemu ni chafu sana, hawana mtu wa kufanya usafi, ina choo kimoja ambacho wanashare wengi hvyo inapelekea wao kuambukizana magonjwa kama UTI, kuna wanafunzi wengine walililalamikia kua kama wiki sasa umeme uliwaishia, wamemwambia mwenyewe lakini amewaambia wachange wenyewe wajinunulie umeme, kwa kweli sikuweza kumuacha mdogo Wangu kwenye sehemu kama ile, hivyo nkarudi nae nyumbani.

now the problem is nimejaribu kuwasiliana na yule mama mwenye hiyo hosteli kuhusu kunirudishia pesa yangu lakini naona ananizungusha, haniambii kua hawezi kurudisha waka hajasema ni "non-refundable, lakini ananizungusha,

Kipato changu si kizuri kivile kumuachia hiyo hela ni ngumu kwangu...

Naombeni mnisaidie hivi hamna any legal way ambayo nnaweza kuitumia kupata pesa zangu back??? Au niandike nimeumia??

Help please
 
Alipokwenda lipa hilo pango atakuwa amesaini karatasi fulani (lease, au contract). Huu ndio mkataba mdogo wako alioingia na mwenye hostel. Kama ipo itasaidia sana kutatua tatizo lako.
 
Back
Top Bottom