Naomba Msaada wenu wadau!

Ben Msele

Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
5
Reaction score
2
Aisee! Kwanza nianze kusema kwamba kwa sa iv stres zote sjui za tcu na heslb zmenexpire 7bu 2meshazoea
Wadau naomba kujua kuwa chuo hik lnstitute of Adult Education knafungua lin kwa frst year na Majina ya waliochaguliwa mwaka huu degree holders yapo wap? 7bu me nmechaguliwa huko na tcu af sjakiomba ata ukiingia webste ya chuo hamna taarfa za watu wa bachelor yaan npo gizan!
 
Vumilia watayapost tu kwenye website yao muda bado upo..au kama vipi waibukie chuoni ukapate more info
 
Pole kaka.Sina uhakika uko pande gani ila kama uko karibu na chuo u nid to go there na kama bado chenga fika pia tcu maana muda umeenda usije kosa chuo kaka.GIVE FEEDBACK THEN.
 
Kiko nchi gan hcho chuo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…