Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natokwa na vipele vingi vikiambatana muwasho mkali...endapo nitatumia product yenye mchanganyiko wa madini ya sulphate kwenye ingredients lkn hata nikila kuku broiler mayai tunayo ita ya kizungu nateseka na hii allergy jamani maji ninywe Kilimanjaro tuu hayana sulphate lkn vitu vingi vina iyoHiyo allergy ipoje mkuu ? Jaribu kuielezea vizuri ili hadi sisi hkl tuijue huenda ukasaidiwa
ooh, pole mkuu ngoja wataalamu waje utasaidiwa tu.Natokwa na vipele vingi vikiambatana muwasho mkali...endapo nitatumia product yenye mchanganyiko wa madini ya sulphate kwenye ingredients lkn hata nikila kuku broiler mayai tunayo ita ya kizungu nateseka na hii allergy jamani maji ninywe Kilimanjaro tuu hayana sulphate lkn vitu vingi vina iyo
hiyo allergy sasa itakuwa imeambatana na hofu yako..
Mimi pia nina allergy na sulphur, nimegundua hilo miaka mingi iliyopita enzi hizo ALU hazipo nilikunywa SP ikanionesha kazi.
Lakini maji ya kila kampuni nakunywa, mayai ya kisasa niliwa wala hayaniletei shida, attention yangu imebaki kwa madawa ya hispitali tu ndio huwa nakuwa makini ambapo napo bado yapo mengi sana yasiyo na sulphur.
Wewe ondoa hiyo hofu, usifikirie sana juu hata ya maji, usihisi kama yatakudhuru, ingekuwa hivyo basi hata dawa za meno zingekudhuru
Kama mm vile same problemhiyo allergy sasa itakuwa imeambatana na hofu yako..
Mimi pia nina allergy na sulphur, nimegundua hilo miaka mingi iliyopita enzi hizo ALU hazipo nilikunywa SP ikanionesha kazi.
Lakini maji ya kila kampuni nakunywa, mayai ya kisasa niliwa wala hayaniletei shida, attention yangu imebaki kwa madawa ya hispitali tu ndio huwa nakuwa makini ambapo napo bado yapo mengi sana yasiyo na sulphur.
Wewe ondoa hiyo hofu, usifikirie sana juu hata ya maji, usihisi kama yatakudhuru, ingekuwa hivyo basi hata dawa za meno zingekudhuru
Na ndio hiyo hofu ninayoisema unakuwa mbishi.Dawa ya meno ninayo tumia ni Colgate Sensitive PRO-Relief iyo haina kabisa sulphate...chochote chenye sulphate kwangu ni tatizo. Unaponiambia niambia maji naweza kunya yoyote niondoe hofu sikuelewi. Wakati kwenye Ingredient imeandikwa kuna sulphate 9.5 sasa hapo inaniachaje kwa mfano