CBZ:
CMOS checksum error!
Kama una utaalamu kidogo wa vifaa vya eletronics : tafuta scew driver : fungua hiyo computer na
1. Angalia kama battery imekaa sawa sawa kwenye ubao mama (motherboard)
2. Angalia kama "jumper" zimekuwa SET sawa sawa
3. Kama moja na mbili hapo juu umeangalia ; jaribu battery nyingine inayofanya kazi ; yawezekana hii imepoteza uwezo wake wa kuishi
4. Waweza pia kujaribu ku-upgrade BIOS (Google it)
5. Zaidi tafuta technician atizame ubao mama wote (digital volt-ohmmeter) inaweza kukusaidi
6. e.t.c