Pole sana hii topic niliwahi kuijibu kwa urefu isearch thread yake bado ipo, inawezekana una UTI lakini specifically una Urethritis, kuugua kwa pipe ya kupitisha mkojo, sijui una umri gani kwa hizo dalili inawezekana pia una benign prostitic hypertrophy (BPH)/ prostitis ni uvimbe kwenye tunda la uzazi (silijui kiswahili), bado kuna masuala mengi ya kujiuliza ili kutofautisha matatizo mbali mbali yanayolingana na dalili zako (differential diagnosis)
USHAURI
Nenda spitali ilo karibu ukapime mkojo pengine unaweza kufanyiwa vipimo zaidi kama Ultrasound etc na utatibiwa kikamilifu na Antibiotic na dawa nyenginezo, usihofu ni maradhi yanayotibika bila shida.
Happy?