Naomba msaada wenu wanaJf

Naomba msaada wenu wanaJf

Mag b

Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
7
Reaction score
1
Naomba msaada wenu juu ya mchango wa mitandao ya kijamii katika kiswahili.kama ikiwezekana zaidi ya 10
 
kwa ninavyoona mimi mitandao ya jamii zaidi haijanya kazi yoyote zaidi kuna maneno mengi hasa sarufi imearibika sana kwa sasa, inagwa wageni wangependa kusoma kiswahili kupitia mitandao ya kijamii.
 
Back
Top Bottom