M Mag b Member Joined Jan 29, 2013 Posts 7 Reaction score 1 Jul 17, 2013 #1 Naomba msaada wenu juu ya mchango wa mitandao ya kijamii katika kiswahili.kama ikiwezekana zaidi ya 10
Naomba msaada wenu juu ya mchango wa mitandao ya kijamii katika kiswahili.kama ikiwezekana zaidi ya 10
shimwemwe Member Joined Aug 7, 2012 Posts 65 Reaction score 2 Jul 17, 2013 #2 kwa ninavyoona mimi mitandao ya jamii zaidi haijanya kazi yoyote zaidi kuna maneno mengi hasa sarufi imearibika sana kwa sasa, inagwa wageni wangependa kusoma kiswahili kupitia mitandao ya kijamii.
kwa ninavyoona mimi mitandao ya jamii zaidi haijanya kazi yoyote zaidi kuna maneno mengi hasa sarufi imearibika sana kwa sasa, inagwa wageni wangependa kusoma kiswahili kupitia mitandao ya kijamii.