Naomba msaada wenu watanzania

Naomba msaada wenu watanzania

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
613
Reaction score
313
Habari zenu watanzania
Mimi ni kijana nilie na umri wa miaka 28 ni mtanzania mzaliwa wa zanzibar elimu yangu ni form 4 ninaujuzi wa kutumia computer na kuitengeneza kwa hardware and software pia ninauzoefu zaid ya 5 year wa kuendesha gari ndogo na kubwa leseni yangu ni ya zanzibar ina class A,B,D na C nimewahi kuwa muandisha katika daftari la kudumu la wapigakura ha znz nikiwa km muandishi na tecnition suport team kwa yoyote anaweza kunisaidi namba yangu ni:
0777 433260
0713 476484
Ahsanteni.
 
hapa ni biashara tu ungepeleka kule jukwaa la nafasi za kazi kule utasaidiwa.
 
Back
Top Bottom